Kumbukumbu La Sheria 12:15 Biblia Habari Njema (BHN)

“Lakini mna uhuru wa kuchinja na kula wanyama wenu popote katika makao yenu mnavyopenda, kama baraka za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alizowapa, kadiri mtakavyojaliwa na Mwenyezi-Mungu. Watu wote, walio safi au najisi wanaweza kula nyama hizo, kama vile mlavyo nyama ya paa au ya kulungu.

Kumbukumbu La Sheria 12

Kumbukumbu La Sheria 12:5-19