Kumbukumbu La Sheria 12:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Yafuatayo ni masharti na maagizo ambayo mtayatimiza katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu, amewapa muimiliki, siku zote za maisha yenu nchini.

Kumbukumbu La Sheria 12

Kumbukumbu La Sheria 12:1-7