Kumbukumbu La Sheria 11:8 Biblia Habari Njema (BHN)

“Tiini amri zote ninazowaamuru siku hii ya leo, ili muweze kuingia na kuimiliki nchi mnayoiendea,

Kumbukumbu La Sheria 11

Kumbukumbu La Sheria 11:4-16