Kumbukumbu La Sheria 11:6 Biblia Habari Njema (BHN)

na mambo aliyowatenda Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu, mwana wa Reubeni; jinsi mbele ya watu wote wa Israeli nchi ilivyofunuka na kuwameza pamoja na jamaa zao, mahema yao, wanyama na watumishi wao wote.

Kumbukumbu La Sheria 11

Kumbukumbu La Sheria 11:1-9