Kumbukumbu La Sheria 11:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kwa ajili hiyo, mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kushika siku zote kanuni zake, masharti yake, maagizo yake na amri zake.

Kumbukumbu La Sheria 11

Kumbukumbu La Sheria 11:1-7