Kumbukumbu La Sheria 10:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha akaniambia ‘Ondoka uendelee na safari yako ukiwaongoza watu ili waweze kuingia na kuimiliki nchi niliyowaapia babu zenu ya kuwa nitawapa’.

Kumbukumbu La Sheria 10

Kumbukumbu La Sheria 10:10-15