Kumbukumbu La Sheria 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Mose akawaambia watu, “Tulipokuwa bado mlimani Sinai, mimi niliwaambieni hivi: ‘Jukumu la kuwaongozeni ni kubwa mno kwangu mimi peke yangu.

Kumbukumbu La Sheria 1

Kumbukumbu La Sheria 1:1-12