Kumbukumbu La Sheria 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)

sasa vunjeni kambi yenu mwendelee na safari. Nendeni kwenye nchi ya milima ya Waamori na maeneo ya nchi jirani katika Araba, kwenye milima na mabonde, huko Negebu na sehemu za pwani; naam, nendeni mpaka nchi ya Kanaani, na nchi ya Lebanoni, hadi kwenye ule mto mkubwa wa Eufrate.

Kumbukumbu La Sheria 1

Kumbukumbu La Sheria 1:1-16