Kumbukumbu La Sheria 1:41 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kisha mkanijibu, ‘Sisi tumemtendea dhambi Mwenyezi-Mungu, lakini sasa tutakwenda na kupigana kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alivyotuamuru’. Hivyo, kila mmoja wenu akajitayarisha kupigana vita; maana mlifikiri kwamba lingekuwa jambo rahisi kuivamia nchi hiyo ya milima.

Kumbukumbu La Sheria 1

Kumbukumbu La Sheria 1:36-45