Kumbukumbu La Sheria 1:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Tazameni, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ameiweka nchi hii mbele yenu. Haya! Ingieni, mkaimiliki kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wa wazee wenu alivyowaambia. Msiogope wala msifadhaike!’

Kumbukumbu La Sheria 1

Kumbukumbu La Sheria 1:11-24