Isaya 65:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, mimi Mwenyezi-Mungu nasema,watumishi wangu watakula,lakini nyinyi mtaona njaa;watumishi wangu watakunywa,lakini nyinyi mtaona kiu;watumishi wangu watafurahi,lakini nyinyi mtafedheheka.

Isaya 65

Isaya 65:8-14