Isaya 64:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Hata hivyo, ee Mwenyezi-Mungu, wewe ni Baba yetu.Sisi ni kama udongo, wewe ni mfinyanzi.Sisi sote ni kazi ya mikono yako.

Isaya 64

Isaya 64:5-12