Isaya 64:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Wewe waja kuwasaidia watendao haki kwa furaha,wanaokukumbuka na kuzingatia njia zako.Ulitukasirikia tulipokuwa wenye dhambi;sisi tumeasi kwa muda mrefu.

Isaya 64

Isaya 64:1-7