Isaya 63:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Kama ng'ombe wapelekwavyo malishoni bondeni,ndivyo roho ya Mungu ilivyowapumzisha watu wake.Ndivyo ee Mungu ulivyowaongoza watu wako,nawe ukajipatia jina tukufu.”

Isaya 63

Isaya 63:13-19