Isaya 62:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Hutaitwa tena: “Aliyeachwa”,wala nchi yako haitaitwa: “Ukiwa”.Bali utaitwa: “Namfurahia,”na nchi yako itaitwa: “Aliyeolewa.”Maana Mwenyezi-Mungu amependezwa nawe,naye atakuwa kama mume wa nchi yako.

Isaya 62

Isaya 62:1-11