Isaya 59:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Mko mbioni kutenda maovu,mnaharakisha kumwaga damu isiyo na hatia.Mawazo yenu ni mawazo ya uovu,popote mwendapo mnaacha ukiwa na uharibifu.

Isaya 59

Isaya 59:6-17