Isaya 59:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Hakuna atoaye madai yake kwa haki,wala anayeshtaki kwa uaminifu.Mnategemea hoja batili;mnasema uongo.Mnatunga hila na kuzaa uovu.

Isaya 59

Isaya 59:1-14