Isaya 59:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Alivaa uadilifu kama vazi la kujikinga kifuani,na wokovu kama kofia ya chuma kichwani.Atajivika kisasi kama vazi,na kujifunika wivu kama joho.

Isaya 59

Isaya 59:12-21