Isaya 58:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema:“Piga kelele, wala usijizuie;paza sauti yako kama tarumbeta.Watangazie watu wangu makosa yao,waambie wazawa wa Yakobo dhambi zao.

Isaya 58

Isaya 58:1-9