Maana sitaendelea kuwalaumuwala kuwakasirikia daima.La sivyo hao niliowaumba watadhoofika mbele yangu,nami ndiye niliyewapa pumzi yangu ya uhai.