Isaya 57:11 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mlimwogopa na kutishwa na nanihata mkasema uongo,mkaacha kunikumbuka mimina kuacha kabisa kunifikiria?Mimi sikuwaambia kitu kwa muda mrefu;ndio maana labda mkaacha kuniheshimu!

Isaya 57

Isaya 57:8-16