Isaya 55:10 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kama vile mvua na theluji ishukavyo toka mbinguni,wala hairudi huko bali huinywesha ardhi,ikaifanya ichipue mimea ikakua,ikampatia mpanzi mbegu na kuwapa watu chakula,

Isaya 55

Isaya 55:6-11