Isaya 54:9 Biblia Habari Njema (BHN)

“Nitafanya kama nilivyofanya wakati wa Noa:Wakati ule niliapa kwambasitaifunika tena ardhi kwa gharika.Basi sasa naapa kwamba sitakukasirikia tenawala sitakukemea tena.

Isaya 54

Isaya 54:1-10