Isaya 54:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Silaha zote zilizoundwa kukudhuru wewehazitafaa chochote kile.Mtu akikushtaki mahakamani, utamshinda.Hilo ndilo fungu nililowapangia watumishi wangu.Hizo ndizo haki nilizowathibitishia.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Isaya 54

Isaya 54:11-17