Isaya 53:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Alidharauliwa na kukataliwa na watu,alikuwa mtu wa uchungu na huzuni.Alikuwa kama mtu kinyaa kwa watu;alidharauliwa na tukamwona si kitu.

Isaya 53

Isaya 53:1-8