Isaya 53:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Mungu asema:“Baada ya kutaabika sana,mtumishi wangu atafurahi.Kwa kuwajibika kwake kikamilifu,atatosheka na matokeo hayo.Kwa maarifa yake mtumishi wangu mwadilifuatawafanya wengi wawe waadilifuYeye atazibeba dhambi zao.

Isaya 53

Isaya 53:4-12