Isaya 51:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Inueni macho mzitazame mbingu,kisha tazameni dunia huko chini.Mbingu zitatoweka kama moshi,dunia itachakaa kama vazi,na wakazi wake watakufa kama wadudu.Lakini wokovu niuletao wadumu milele;ukombozi wangu kamwe hautakoma.

Isaya 51

Isaya 51:4-16