Isaya 50:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Kama nimempa talaka mama yako Yerusalemu,hati ya talaka iko wapi?Au kama niliwauza utumwani,yuko wapi basi, huyo niliyemwuzia?Kumbukeni mliuzwa utumwani kwa maovu yenu,mama yenu alifukuzwa kwa makosa yenu.

Isaya 50

Isaya 50:1-10