Isaya 5:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwawakia watu wake,akaunyosha mkono wake dhidi yao, akawachapa,hata milima ikatetemeka,maiti zao zikawa kama takatakakatika barabara za mji.Hata hivyo, hasira yake haikutulia,mkono wake bado ameunyosha kuwaadhibu.

Isaya 5

Isaya 5:15-26