Isaya 42:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini hawa ni watu walioibiwa mali na kuporwa!Wote wamenaswa mashimoni,wamefungwa gerezani.Wamekuwa kama mawindo bila mtu wa kuwaokoa,wamekuwa nyara na hakuna asemaye, “Waokolewe!”

Isaya 42

Isaya 42:17-25