Isaya 41:25 Biblia Habari Njema (BHN)

“Nimechochea mtu toka kaskazini,naye amekuja;naam, nimemchagua mtu toka mashariki,naye atalitamka jina langu.Yeye atawakanyaga wafalme kama tope,kama vile mfinyanzi apondavyo udongo wake.

Isaya 41

Isaya 41:19-29