Isaya 41:11 Biblia Habari Njema (BHN)

“Naam! Wote waliokuwakia hasira,wataaibishwa na kupata fedheha.Wote wanaopingana nawe,watakuwa si kitu na kuangamia.

Isaya 41

Isaya 41:1-12