Isaya 41:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mungu asema hivi:“Enyi wakazi wa mbali nyamazeni mnisikilize!Enyi mataifa jipeni nguvu;jitokezeni mkatoe hoja zenu,na tuje pamoja kwa hukumu.

Isaya 41

Isaya 41:1-7