Isaya 40:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Dunia iliumbwa na huyo aketiye juu ya mbingu;kutoka huko wakazi wa dunia ni kama panzi!Yeye amezitandaza mbingu kama pazia,na kuzikunjua kama hema la kuishi.

Isaya 40

Isaya 40:12-31