Isaya 40:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Nani awezaye kupima maji ya bahari kwa konzi yake,kuzipima mbingu kwa mikono yake?Nani awezaye kuutia udongo wa dunia kikombeni;kuipima milima kwa mizaniau vilima kwa kipimo cha uzani?

Isaya 40

Isaya 40:6-16