Isaya 39:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Naye Hezekia akamwambia Isaya, “Neno la Mwenyezi-Mungu ulilosema ni sawa.” Alisema hivyo kwani alifikiri, “Kutakuwa na amani na usalama muda wote niishipo.”

Isaya 39

Isaya 39:1-8