Isaya 37:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Umewatumia watumishi wako kunidhihaki mimi Bwana;wewe umesema, ‘Kwa magari yangu mengi ya vita,nimekwea vilele vya milima,mpaka kilele cha Lebanoni.Nimeangusha mierezi yake mirefu,na misonobari mizurimizuri.Nimevifikia vilele vyakena ndani ya misitu yake mikubwa.

Isaya 37

Isaya 37:18-29