Isaya 35:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Waliokombolewa na Mwenyezi-Mungu watarudi,watakuja Siyoni wakipiga vigelegele.Watakuwa wenye furaha ya milele,watajaliwa furaha na shangwe;huzuni na kilio vitatoweka kabisa.

Isaya 35

Isaya 35:1-10