Isaya 34:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Nyati wataangamia pamoja nao,ndama kadhalika na mafahali.Nchi italoweshwa damu,udongo utarutubika kwa mafuta yao.

Isaya 34

Isaya 34:1-15