Miiba itaota katika ngome zake,viwavi na michongoma mabomani mwao.Itakuwa makao ya mbwamwitu, maskani yao mbuni.