Isaya 33:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Nchi inaomboleza na kunyauka;misitu ya Lebanoni imekauka,bonde zuri la Sharoni limekuwa jangwa,huko Bashani na mlimani Karmelimiti imepukutika majani yake.

Isaya 33

Isaya 33:1-19