Isaya 32:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Ulaghai wa walaghai ni mbaya;hao huzua visa viovu,na kumwangamiza maskini kwa maneno ya uongo,hata kama madai ya maskini ni halali.

Isaya 32

Isaya 32:1-14