Isaya 32:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Tetemekeni kwa woga, enyi mnaojikalia tu;tetemekeni kwa hofu, enyi mnaostarehe!Vueni nguo zenu, mbaki uchi,mjifunge vazi la gunia viunoni mwenu.

Isaya 32

Isaya 32:9-14