Isaya 30:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Kuporomoka kwa ukuta huo,ni kama kupasuka kwa chunguambacho kimepasuliwa vibaya sana,bila kusalia kigae cha kuchukulia moto mekoni,au kuchotea maji kisimani.”

Isaya 30

Isaya 30:11-18