Isaya 30:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Ole wao watoto wanaoniasi,wanaotekeleza mipango yao na si mipango yangu,wanaofanya mikataba kinyume cha matakwa yangu!Naam, wanarundika dhambi juu ya dhambi.

Isaya 30

Isaya 30:1-11