Malango ya mji yatalia na kuomboleza;nao mji utakuwa kama mwanamke aliyepokonywa kila kitu, ameketi mavumbini.