Isaya 29:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu wa majeshi atakuja kukusaidia;atakuja na ngurumo, tetemeko la ardhi na sauti kubwa;atakuja na kimbunga, tufani na moto uunguzao.

Isaya 29

Isaya 29:1-14