Isaya 28:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana Mwenyezi-Mungu atainuka kama kule mlimani Perazimu;atawaka hasira kama kule bondeni Gibeoni.Atatekeleza mpango wake wa ajabu;atatenda kazi yake ya kustaajabisha.

Isaya 28

Isaya 28:14-22