Isaya 26:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Sisi tulipata maumivu ya kujifungualakini tukajifungua tu upepo!Hatukupata ushindi wowote kwa ajili ya nchi yetu,hatukuweza kuongeza idadi ya watu katika nchi.

Isaya 26

Isaya 26:17-20