Isaya 26:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini waovu hata wakipewa fadhili,hawawezi kujifunza kutenda haki.Hata katika nchi ya wanyofu,wao bado wanatenda maovu,wala hawajali ukuu wako wewe Mwenyezi-Mungu.

Isaya 26

Isaya 26:8-15